Slider

Crime Prevention


 

1 comment:

  1. Ili tufikie maendeleo inabidi tushirikiane katika kukomesha uhalifu wa aina zote. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Jeshi la Polisi kuanzia Jan-Sep,2013 Uhalifu dhidi ya mali umeongezeka sana kwani kesi zilizotolewa taarifa vituo vya Polisi ni 34,020, Makosa ya uvunjaji yanaongoza. je yale ambayo hayajatolewa taarifa popote ni mangapi! Tujifunze mbinu za kuzuia uvunjaji tusirudi nyuma kimaendeleo na tujenge jamii salama na yenye amani.

    ReplyDelete